Pia tunatakiwa kusubiri matokeo ndio tuondoke tukishajua tumepata ngapi. Sasa hii ya kusema muondoke sijui inamaanisha nini. Nakumbuka huku arusha tulilinda kura kila anaekuja tunamsachi hata awe kama kiongozi tukakamata kura zikiwa kwenye hotpot ya chakula. Hao wanaosema tupndoke kwani wao wana hofu gani?