Hivi Kati Ya Hawa Nani Atakae Jilaumu Hapo Baadae 1:anae Jitahidi Kufanya Ibada Yani Kwenda Kanisani Au Msikitini Halafu Akifika Huko Kwa Mungu Asimkute Au 2:anae Amini Mungu Hayupo Akahadaika Na Starehe Za Dunia Halafu Akaenda Kumkuta Mungu Yupo Wakati Hajajiandalia Lolote?. Toa Maoni Yako Hapa!!