Swali langu ni hii!

Sidhani kama watakujibu hapo.

[HASHTAG]#weka[/HASHTAG] siraha chini tubishane kwa hoja.#
 
wasubiri waje kukuonesha hao wasaliti.......wakija nistue.......!!!!
 
Swali gumu sana hilo! Hadi sasa wanakuna na kuumiza kichwa kwa kosa walilolifanya baada ya kamati ya bunge kutomtaja yule waliyemlenga!
Bora wangenyuti na kuifungia ripoti ile kw staili ya mkapa!
 
Swali gumu sana hilo! Hadi sasa wanakuna na kuumiza kichwa kwa kosa walilolifanya baada ya kamati ya bunge kutomtaja yule waliyemlenga!
Bora wangenyuti na kuifungia ripoti ile kw staili ya mkapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…