Swali la uelewa

Micl

New Member
Joined
Apr 24, 2023
Posts
1
Reaction score
0
1. Nikiumbe gani Mungu kakiumba kakipa akili na matamanio?
2. Nikiumbe gani Mungu kakiumba kakipa akili hana matamanio?
3. Ni kiumbe gani Mungu kakiumba kakipa matamanio kakinyima akili?

Nisaidie kujibu hili swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…