Wasalaam members Jamiiforums, naamini tunaendelea vizuri katika kuijenga Tanzania ya viwanda.
Hivi mtu anayehonga pesa/vitu hapa nawalenga zaidi wale wanaohonga mambo ya gharama mfano mwanaume mtu ananunulia mwanamke gari, nyumba, biashara n.k ambaye sio mke halali yaani hawara tu hawajaoana.
Swali langu ni kwamba hawa watu fedha imewatosha sana au? Wengi wa watu niliowaona wakifanya hivi kwenye background maisha yao halisi hayalingani na vitu wanavyotoa, wakati kuna watu wake wa karibu zaidi wanapata tabu kwa ajili ya fedha mfano kaka, dada, ndugu yeyote, na wengine huenda mbali zaidi kwa kujinyima wao ili wahonge pesa kubwa zaidi.
Kwangu mimi hapana kama ni wanawake acha nikose tu kwa ajili ya ubahili, nguvu na muda niliowekeza kuitafuta pesa siwezi itupilia mbali hivyo.
Removing sex, most of women have nothing to offer in a relationship.
The question is why we mens sacrifice a lot in a relationship?
Haki nikiona mwanaume mwenzangu anahonga hovyo huwa natamani nimkate kelebu ya taya akili zijipange,maana naona anavyofanyiwa sio.