Swali kwa wanachuo

Soma ualimu, Mathematics & Geography
 
samahan nisaidie kuhusu architecture,statistics na actuarial science znakuaje hzo?
Kama mkakati wako ni kuhitimu upate Ajira ujenge maisha bila usumbufu na kwa muda mfupi soma Education.

Hizo nyingine zipo utasoma lakini upatikanaji wake wa Ajira ni mgumu, utapanga sana foleni SEKRETARIETI YA AJIRA ila kuna ndoto yako na uko tayari kuipigania nenda !

STATISTICS kuna jamaa yangu kasoma, kahitimu 2015 mpaka sasa anafundisha shule binafsi tu na mpaka anafikiria kwenda kusoma Postgraduate Diploma in Education ili awe mwalimu kabisa kwa sasa !

ACTUARIAL kuna jamaa alikuwa anasoma akaacha, akaenda kusoma Diploma Afya. Hawa wanahusika na mambn ya samaki, ukipata kazi UMEULA, ila kupata hiyo kazi SIJUI.

ARCHTECTURE Jiandae kujiajiri kwa kuchorea watu ramani za majengo. Ila kama utakuwa MBUNIFU sana unaweza kupata kazi kwenye kampuni za makandarasi !
 
Hapa nasisitiza asome "Bsc in Education ( Maths and Geo ) na siyo,

Bachelor of science in Mathematics
HAPA MIMI NASISITIZA ASOME BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION (TEACHING SUBJECT: GEOG AND MATH)
 
elimu ya bongo bwana unaweza kuona labda kozi fulani inalipa now, ukiwa chuo tu magu anabadilisha gia hewani... waliosoma gesi na mafuta sahizi wanatamani wasome reli
 
elimu ya bongo bwana unaweza kuona labda kozi fulani inalipa now, ukiwa chuo tu magu anabadilisha gia hewani... waliosoma gesi na mafuta sahizi wanatamani wasome reli
Hahahhaha
 
elimu ya bongo bwana unaweza kuona labda kozi fulani inalipa now, ukiwa chuo tu magu anabadilisha gia hewani... waliosoma gesi na mafuta sahizi wanatamani wasome reli
Mna visa nyie...!!
 
LEO LIMEWEKWA JIWE LA MSINGI HAPO KIBAHA KASOME SISIEMU NA SIASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…