Swali kwa wadada tu?

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Wadada wazima?

Hivi ni kweli mkishakuwa katika mahusiano mengi aka kukutana na madushelele tofauti inakuwa ngumu kutulia kwenye ndoa?

Nitafurahi sana wadada mkinipa ukweli kwenye hili, maana humu hatujuani, msifiche kitu,

Bibi harusi yupo tayari, wachangaji wapo tayari, wazazi wapo tayari, wazamiaji wapo tayari, wapenda shughuli wapo tayari, wacheza kwaito wapo tayari, wafanyakazi wenzake wapo tayari, mashost aka Maids wapo tayari, sema muoaji ndio bado anasita sita anajiona kama hayupo tayari akikumbuka past ya mwanamke anaempenda..

Hopin mnaikumbuka thread ya Past yake inanirudisha nyuma ya yule bank teller wa rafiki yangu, sasa mpaka leo hatujapata majibu..

Wadada tunaomba mfunguke ukweli toka moyoni
 
Mwanamke hatotulia kama humfikishi kileleni

Ila idadi ya wanaume haina uhusiano
 
mleta mada hujui kuwa mechi za nje zinasaidia sana ndoa kuwa imara???
Mie nikiona tumezinguana to the maximum na hubby namtafuta msaidizi wa mume wangu tunaenda beach hotel tunashiiiinda,tunararana,tunapetiana petiana,kulishana mishkaki ya maini,full kudendeka.
Nkirudi kwa husband nakuwa mikero mihasira yote imeisha.Mapenzi motomoto.
Same to him najua anatoka nje.
He he he he so hiyo si ishu sana tupo 21 century eeee afu kugongewa kumbuka ni siri ya ndani eee.
Byeeee.
 
Mwanamke hatotulia kama humfikishi kileleni

Ila idadi ya wanaume haina uhusiano

hilo neno mtu umeshacheza uefa premier league kibao afu unakutana na kijitu kinachokula poro la chips rojo akiweka dushelele na kupata joto la k tu keshamwaga.
Hakyamama lazima lazima utafute wenye mechi kiwango na ndo hapo dharau zinapoanza.
Jamani nyie vijana nawausia tieni acheni mchezo kila siku mtatombewa.
Raha ya mwanamke kurusha maji.
 

Eheeeee... Don't try this at home.
 

Endelea kuwadanganya wenzako.
 

sasa kama hamjapata majibu kwanini msichape raba yanini kutaka kumuaibisha dada wa watu mwambie bwana harusi akatafute ambaye yuko sealed awe na amani ya moyo

dada wa watu kafunguka mnamuona kituko eeeeeeeh
n
sasa ngoja huyo bwana harusi akutane na migumegume ambayo inasema niliwah kuwa na bwana mmoja tu kumbeeeeeee nj zaidi ya level siti ndo atashika adabu yake
 
Maneno kama haya yanafanya biashara ya pweza izidi kuenea kwa kasi
 
Sijui sijaelewa topic ama ni kichwa changu hakijakaa sawa..............
Nahisi usingz umenizidi kesho ntafunguka
 
Atafute bikra! Mbona anajipotezea muda....? Huyo dada atakuwa amekuwa anakutana na watu kama huyo muoaji asiyejielewa....! Nae huyo wakiachana list inaongezeka tu.
 
hilo linategemea na msimamo wa muhusika...kuna wanaotulia kwny ndoa tena kwa utulivu wa hali ya juu coz hana kipya anachokitafuta tena....nina mifano
 

duh! leo umeamua mdada. umeniacha nacheka ati, raha ya mwanamke kurusha .....
 

nimekupenda bure Amu
 
sasa na yeye akimwacha list si itaongezeka.au yeye hajawai kuwa na msichana maishani mwake.kutulia au kutokutulia kwa mwanamke kunategemea vitu viwili.kwanza tabia halisi ya mwanamke .pili jinsi mumewe anavyo mcare.kuna baadhi ya wanawake hawaridhi hata mumewe awape nin.si kitandani wala mahitaji.yote ataona ayatoshi akishaachwa ndo anakili inarudi.pia mume anaweza kusababisha mkewe akatoka endapo na yeye hata jishugulisha pande zote.uwanjani na kwenye mambo mengine.
 
Sijui sijaelewa topic ama ni kichwa changu hakijakaa sawa..............
Nahisi usingz umenizidi kesho ntafunguka
MankaM nimependa avatar yako....! hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
hilo neno mtu umeshacheza uefa premier league kibao afu unakutana na kijitu kinachokula poro la chips rojo akiweka dushelele na kupata joto la k tu keshamwaga.

 

Hawa dawa ni kuwadanganya tu,kumsimulia bwana wako mabaya ya nyuma huko hapana kwakweli lbda ajue mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…