Kuna Kiss Fm -- Mdogo wake Rfa, ikifika saa 10 jioni, kipindi kile cha mdada Salome (kama sijakosea), yaani akiongea na kuweka matangazo, yanasikika vizuri tu, ila akiweka miziki, sauti inakuwa ya chini sana, na leo ni siku ya tatu, yaani tangu J3 ya juzi. Sijui kama kuna mnaofuatilia na kuligundua hilo tatizo?!. Wahusika jamani rekebisheni hilo.
Ahsante!