Habari zenu wanaJF.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa namna hesabu za malipo ya mikopo benki zinavyofanyika atujuze hapa.
Kwanza inabidi niseme tu kuwa inasikitisha sana kwamba hadi leo hii, huduma kwa mteja kwa taasisi nyingi sana ni mbovu hadi zinatia hasira. Nasema hivi kwa sababu nimejaribu kutembelea benki mbalimbali ili nipate maelezo ya kutosha kuhusu mikopo na hesabu pamoja fomula zinatozumika kukokotoa malipo hayo kuanzia mwanzo wa mkopo hadi pale deni linapokwisha, lakini kati ya benki zote nilizotembelea (NMB, CRDB, TWIGA na KCB) ni KCB tu ndiyo waliojitahidi kidogo kulinganisha na wengine wote kutoa maelezo ya kuridhisha. Cha kushangaza ni kwamba hata hao waliowekwa kushughulikia wateja kwenye haya masuala hawana elimu kabisa kuhusiana na hesabu za makato.
Sasa basi pamoja na kuwa nimepata mwanga kidogo lakini, nitashukuru sana kama kuna yeyote anayeweza kutoa elimu zaidi. Nafanya hivi ili nitakapoamua kuchukua mkopo benki basi niwe ninajua hasa ni kwa namna gani itaniathiri kiuchumi.
Ili kurahisisha swali langu, chukulia kwa mfano mtu analipwa net salary(kiswahili chake sijui) ya milioni moja (1,000,000/=) na amechukua mkopo wa Tshs 12,000,000/= ambao anatakiwa kuulipa ndani ya miaka mitatu na riba ni 20%. Mchakato hapa utakuwa vipi?
Ni hayo tu....
Natanguliza shukrani zangu wadau.
Hesabu kwangu nami ni kimeo. Natumiaga simu mwenyewe. Kikubwa huwa nataka nijue loan amount, interest rate %, loan period in months and u calculate the monthly installment. Kama unasimu yenye loan calculator, inakokotoa kila ambayo ina-include loan amount, loan period in (months), monthly installments. Ambapo kwa mwezi itabidi ulipe monthly installment kwahiyo itakua ni 445,963. Sasa hii calculator kama inatoa, jumlisha, gawanya, zidisha au vyote kwa pamoja, I gotta no clue. Hesabu noma!
Habari zenu wanaJF.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa namna hesabu za malipo ya mikopo benki zinavyofanyika atujuze hapa.
Kwanza inabidi niseme tu kuwa inasikitisha sana kwamba hadi leo hii, huduma kwa mteja kwa taasisi nyingi sana ni mbovu hadi zinatia hasira. Nasema hivi kwa sababu nimejaribu kutembelea benki mbalimbali ili nipate maelezo ya kutosha kuhusu mikopo na hesabu pamoja fomula zinatozumika kukokotoa malipo hayo kuanzia mwanzo wa mkopo hadi pale deni linapokwisha, lakini kati ya benki zote nilizotembelea (NMB, CRDB, TWIGA na KCB) ni KCB tu ndiyo waliojitahidi kidogo kulinganisha na wengine wote kutoa maelezo ya kuridhisha. Cha kushangaza ni kwamba hata hao waliowekwa kushughulikia wateja kwenye haya masuala hawana elimu kabisa kuhusiana na hesabu za makato.
Sasa basi pamoja na kuwa nimepata mwanga kidogo lakini, nitashukuru sana kama kuna yeyote anayeweza kutoa elimu zaidi. Nafanya hivi ili nitakapoamua kuchukua mkopo benki basi niwe ninajua hasa ni kwa namna gani itaniathiri kiuchumi.
Ili kurahisisha swali langu, chukulia kwa mfano mtu analipwa net salary(kiswahili chake sijui) ya milioni moja (1,000,000/=) na amechukua mkopo wa Tshs 12,000,000/= ambao anatakiwa kuulipa ndani ya miaka mitatu na riba ni 20%. Mchakato hapa utakuwa vipi?
Ni hayo tu....
Natanguliza shukrani zangu wadau.
Nitakusaidia kirahisi kabisa hapa. Kwanza kuna mambo machache mkopo wowote unafuata, kwanza ni Muda (period) wa mkopo kuanza mpaka kumalizika (maturity, Riba ya Mkopo ( Interest) sababu unalipia kila mwezi basi riba is calculated compounded monthly (Hapa ndio inabidi upatazame kwa karibu sana) na nne ni thamani ya Mkopo. Pesa unayokopeshwa japo kuwa utalipa kwa miaka miwili lazima iangaliwe katika shilling ya leo, maana present value.
Sasa tuje kwenye swala lako, 12 Million ndio present value yako (PV), 36 ndio period zako (3X12), na interest yako ni 1.67% a month. Sasa baada ya hapo kama unafahamu vizu excel. Type =sign then andika PMT, kisha itakuuliza riba, muda na PV. Ingiza hiyo namba kisha utaona payment zako ni kiasi gani. Payment zako zitakuwa around 445,963 Tsh kwa mwezi, na katika miaka 3 utawalipa bank 16,063,473. That is 34% ROI kwa Bank...... Ndio mtakubalina na mimi Bank kuu should regulate interest rate in Tanzania.

Unaonaje ukitoa mchanganuo kwa namna zote mbili, yaani kwa reducing balance( maana yake nini?) na kwa flat rate(maana yake pia mkuu maana lugha za watu hizi)Kabla hujaenda kwenye ku kokotoa malipo ya mwezi uliza maswali yafuatayo kwa benki hiyo;
1. Riba yao ni ya mfumo gani? Reducing balance (I recommend) au flat rate
2. Kuna gharama gani zaidi ya interest ambazo watanichaji
majibu compare among 3 to 4 banks before u decide.
Mkuu hapo kwenye nyekundu umepataje hiyo value?Nitakusaidia kirahisi kabisa hapa. Kwanza kuna mambo machache mkopo wowote unafuata, kwanza ni Muda (period) wa mkopo kuanza mpaka kumalizika (maturity, Riba ya Mkopo ( Interest) sababu unalipia kila mwezi basi riba is calculated compounded monthly (Hapa ndio inabidi upatazame kwa karibu sana) na nne ni thamani ya Mkopo. Pesa unayokopeshwa japo kuwa utalipa kwa miaka miwili lazima iangaliwe katika shilling ya leo, maana present value.
Sasa tuje kwenye swala lako, 12 Million ndio present value yako (PV), 36 ndio period zako (3X12), na interest yako ni 1.67% a month. Sasa baada ya hapo kama unafahamu vizu excel. Type =sign then andika PMT, kisha itakuuliza riba, muda na PV. Ingiza hiyo namba kisha utaona payment zako ni kiasi gani. Payment zako zitakuwa around 445,963 Tsh kwa mwezi, na katika miaka 3 utawalipa bank 16,063,473. That is 34% ROI kwa Bank...... Ndio mtakubalina na mimi Bank kuu should regulate interest rate in Tanzania.
Mkuu hapo kwenye nyekundu umepataje hiyo value?