kama hilo jina lingekuwa linaponya kusingekuwa na wagonjwa,hakuna mtu angekubali kwenda hospital akatumie muda na gharama wakati kuna jina akitajiwa tu anatibika!..
acheni makeke na uzwazwa hakuna pepo,nawachukulia wanaoanguka hivyo ni watu wenye matatizo ya afya ya akili na wengine ni maigizo tu!.
Jehu hiloPepo ndio nini hebu thibitisha uwepo wa hilo pepo?
Nguvu ipo pale pale kikubwa ni kuamini mzeeVipi wale wanaotumia english, jina lina change ? Explanation behind ni ipi yani
MUNGU anaweza yote na anajua Kila kitu?Malizia unachotaka kusema
Naam kikubwa kuamini.Nguvu ipo pale pale kikubwa ni kuamini mzee
Ulishawahi kuona Mapepo?Bwana yesu asifiwe wanajf ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
Swali la kipumbavu kuwahi kuulizwaUlishawahi kuona Mapepo?
Siku moja mwambie mchungaji asemenjina lolote tofauti na yesu au aseme hata kwa jina la pimbi pepo toka uone kma hawaangukiBwana yesu asifiwe wanajf ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
Mkuu bandiko refu kama mwaka huu ila kikubwa umesema umenielewaha ha hahapa utapigwa mawe sio tu na ma ethiest but hata wenye dini bro,ipo hiv maigizo ni mengi mno watu wanajifanya mazombi wana mapepo kisha wanajifanya kuombewa na kuanguka...
Mkuu kabla ya kuandika uzi nimetoka kujaribu hakuna hicho kituSiku moja mwambie mchungaji asemenjina lolote tofauti na yesu au aseme hata kwa jina la pimbi pepo toka uone kma hawaanguki
Mkuu utashangaa kuna pimbi hatakuaminiMimi nilienda kuomba kanisa langu la romani catholic kuomba nifaulu mitihan wa kidato Cha nne na nikasikia nikiambiwa utafaulu mpaka kwenye kazi Yako na kweli nilifauulu Mimi mwenyewe na nikaenda kidato Cha tano na nikamaliza na nikaenda chuo na kupata kazi kazi nzuri mpaka saizi yesu no mzuri mno
Utolewe mapepoNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Mkuu tema mate chiniHizi dini ni utaperi tu , ambao uliletwa na wazungu na waarabu Ili wachukue walivyo vitaka kutoka Kwa wazee wetu..
Hizo ni stori tu za hekaya za Simba na fisi.. we are scared for nothing
ngoja kwanza,Mimi nilienda kuomba kanisa langu la romani catholic kuomba nifaulu mitihan wa kidato Cha nne na nikasikia nikiambiwa utafaulu mpaka kwenye kazi Yako na kweli nilifauulu Mimi mwenyewe na nikaenda kidato Cha tano na nikamaliza na nikaenda chuo na kupata kazi kazi nzuri mpaka saizi yesu no mzuri mno