Swali fikirishi

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,625
Reaction score
38,751
Mke baada ya kumaliza kuoga akawa anabadili nguo chumbani, mume nae alikuwa amejilaza ila akawa amuangalia mkewe sasa mke akawa amevaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua mumewe kaona kuwa chupi aligeuza ila akamkaushia, mke akamuaga mumewe kuwa anaenda sokoni alipo rudi nyumbani akakuta mume bado amelala alipokuwa anabadili tena nguo mume akawa anamtazama tena akaona chupi ameivaa vizuri kama wewe ndo mume ungewaza nini hapo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa upande wangu mimi naona aliingia choo cha sokoni akaona haipo sawa akaibadili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…