Swaga

Huyu mwenye hilo belon la mistari kama Tyta vile....
 
Last edited by a moderator:
Kama huyo ndo anagonga mlango, unafungua eti ndo kaja kumchukua binti yako wafanye mtoko.
My God wangu lazima ninunue gobole, wajinga wajinga wakae mbali na nyumbani kwangu.
 
Ndio swaga, lakini hii imezidi sasa
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,kama akili nyingi huondoa maarifa hapa itakuwa uvaaji mwingine....
 
Iko poa sana lakini mi bado hawa kuwonaga kamtaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…