the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 218
Hongera kwa mapacha!! ngoja tuandae zawadi hiyo 7/7/17.mimi wangu ni yule yule wa since 1998 na mambo ni yale yale ila anahamu yakuona Twins wake Inshallah by 7/7/17
hilo ndio kubwa kwake mie hapa ni mwendo wa kudeka tuu...
Mkuu mbona inaonekana km tunaendana? hebu tutafutane tukae km kamati.Mbona ya kawaida hayo jamani.
MmmhhhhMkuu mbona inaonekana km tunaendana? hebu tutafutane tukae km kamati.
hongera sanamimi wangu ni yule yule wa since 1998 na mambo ni yale yale ila anahamu yakuona Twins wake Inshallah by 7/7/17
hilo ndio kubwa kwake mie hapa ni mwendo wa kudeka tuu...
Ahsante Darling...hongera sana
Ahsante..Hongera kwa mapacha!! ngoja tuandae zawadi hiyo 7/7/17.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke ntakaye kuwa naye mwaka huu 2017 awe tayari kwa yafuatayo...
1. akifika kwangu atakula kitakacho kuwepo na sio atakachotaka yeye.
2. kama anatumia pesa yangu kupendeza ile misuko ya kidoti,kinick minaj sijui asahau ni mwendo ya yeboyebo, yaani tunabandua yeboyebo tunaweka yeboyebo[emoji23][emoji23]
3. kunipiga mizinga iwe ni kila baada ya mwezi mmoja...na sio kila baada siku 3.
4. mlimani city tutaenda kupunga upepo na kuenjoy A.C. tuu na sio shopping tena, shopping zetu kariakooo
5. Muda wa maongezi ntakuunganisha na kifurusha cha mwanachuo ili tuonane kwa ajili ya vocha kila mwisho wa wiki
kama baba magu anabana matumizi mimi ni nani hata nitumie pesa kama nazitengeneza mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahahh mbona ya kawaida sana hayo mkuu atasuka yeboyebo ya 30000Mwanamke ntakaye kuwa naye mwaka huu 2017 awe tayari kwa yafuatayo...
1. akifika kwangu atakula kitakacho kuwepo na sio atakachotaka yeye.
2. kama anatumia pesa yangu kupendeza ile misuko ya kidoti,kinick minaj sijui asahau ni mwendo ya yeboyebo, yaani tunabandua yeboyebo tunaweka yeboyebo[emoji23][emoji23]
3. kunipiga mizinga iwe ni kila baada ya mwezi mmoja...na sio kila baada siku 3.
4. mlimani city tutaenda kupunga upepo na kuenjoy A.C. tuu na sio shopping tena, shopping zetu kariakooo
5. Muda wa maongezi ntakuunganisha na kifurusha cha mwanachuo ili tuonane kwa ajili ya vocha kila mwisho wa wiki
kama baba magu anabana matumizi mimi ni nani hata nitumie pesa kama nazitengeneza mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeeMmmhhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kubana matumizi hela itayobaki wanunulie mahindi kijijini kwenu, kuna njaa sana mwaka huu mvua hamna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntafutie madalali wa baiskel maana itakuwa bei rahisi kidogo ili nibane matumize tena hapoNakushauri hata daladala usipande, badala yake ununue baiskeli utumie ktk safari zako hapa mjini. Tena Baiskeli aina ya phonex ndio itakufaa zaid maana zinadumu sana.