Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,079 Reaction score 468 Jun 15, 2016 #2 gari nzuri, imara, spare zipo ila bei ghali kidogo, mafuta inatumia kidogo sana. wengi wanasema zinasumbua sensor.
gari nzuri, imara, spare zipo ila bei ghali kidogo, mafuta inatumia kidogo sana. wengi wanasema zinasumbua sensor.
tracy martins JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 3,535 Reaction score 1,484 Jun 15, 2016 #3 Kig said: gari nzuri, imara, spare zipo ila bei ghali kidogo, mafuta inatumia kidogo sana. wengi wanasema zinasumbua sensor. Click to expand... Sema hiyo gari ni ndogo, kwa hiyo ukikaa ndani wala uenjoy kiihivyo, ila imara sana, mafuta ula vizuri
Kig said: gari nzuri, imara, spare zipo ila bei ghali kidogo, mafuta inatumia kidogo sana. wengi wanasema zinasumbua sensor. Click to expand... Sema hiyo gari ni ndogo, kwa hiyo ukikaa ndani wala uenjoy kiihivyo, ila imara sana, mafuta ula vizuri
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,631 Reaction score 11,890 Jun 15, 2016 #4 Mkuu, tafuta gari nyingine, Suzuki Swift sikushauri. Tatizo lake kubwa ni kuchemsha na sensor.
Maarko JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,196 Reaction score 609 Jun 23, 2016 #5 Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana... Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka.
Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana... Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Jun 23, 2016 #6 Maarko said: Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana... Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka. Click to expand... Kuna mwana mmoja aliniondolea misi kwenye GDI mpaka leo mzuka tu labda ukikwama kabisa utest kwa huyo yupo mwananyamala roya
Maarko said: Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana... Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka. Click to expand... Kuna mwana mmoja aliniondolea misi kwenye GDI mpaka leo mzuka tu labda ukikwama kabisa utest kwa huyo yupo mwananyamala roya
sekapinga Senior Member Joined Dec 21, 2015 Posts 135 Reaction score 78 Jun 23, 2016 #7 Gari siyo ya safari wastani wa speed per hour ni 70 hadi 90
sekapinga Senior Member Joined Dec 21, 2015 Posts 135 Reaction score 78 Jun 23, 2016 #8 Hiyo ni kama boxer tu no safari
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,594 Jun 23, 2016 #9 Mi napanga nitoke nayo Dar kwenda mwanza. Naomba ushauri kwa waliokwisha fanya hivyo
munyambugha. Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 102 Reaction score 46 Jun 23, 2016 #10 Vipi kuhusu carina ti na noah old model ipi ni gari nzuri wakuu?
Maarko JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,196 Reaction score 609 Jun 30, 2016 #11 Swift inauwezo mzuri sana barabarani,nilishaendesha mara mbili kutoka mbeya hadi moshi bila shida yoyote.
Swift inauwezo mzuri sana barabarani,nilishaendesha mara mbili kutoka mbeya hadi moshi bila shida yoyote.
xuxu meyu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 426 Reaction score 370 Jun 30, 2016 #12 sekapinga said: Gari siyo ya safari wastani wa speed per hour ni 70 hadi 90 Click to expand... Duh zaidi ya 90 hapa mjini unapita wapi na foleni mataa matuta na wavuka barabara labda ungoje barabara la juu mwache jamaa anunue bwana ila mkatazd kama lina ubovu.
sekapinga said: Gari siyo ya safari wastani wa speed per hour ni 70 hadi 90 Click to expand... Duh zaidi ya 90 hapa mjini unapita wapi na foleni mataa matuta na wavuka barabara labda ungoje barabara la juu mwache jamaa anunue bwana ila mkatazd kama lina ubovu.
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Jul 1, 2016 #13 Maarko said: Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana... Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka. Click to expand... Dah, hilo hilo ndio linalonisumbua pia. Nimebadili sensor. Plug zote zinachoma, nimepima mpaka kwa mashine gari bado..
Maarko said: Miye ninayo toka mwaka 2009 usumbufu imeanza mwishoni mwa mwaka jana... Kinacho sumbua ni misi mafundi wengi wa mitaani wamechemka. Click to expand... Dah, hilo hilo ndio linalonisumbua pia. Nimebadili sensor. Plug zote zinachoma, nimepima mpaka kwa mashine gari bado..