Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Oct 20, 2014 #1 Imesajiliwa kwa namba T....CVW. Manual transmission. 79000Km. Silver. Inayo muonekanao mzuri sana na ipo Arusha. karibu tuongee biashara.
Imesajiliwa kwa namba T....CVW. Manual transmission. 79000Km. Silver. Inayo muonekanao mzuri sana na ipo Arusha. karibu tuongee biashara.
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,175 Reaction score 3,276 Oct 20, 2014 #2 Weka bei hapa
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Oct 21, 2014 #3 Ukisikia gari ipo Arusha, wauzaji hawaweki picha sijui ni za magendo hizi au vip!? Dar es Salaam vitu wazi gari nje nje mpka plate no
Ukisikia gari ipo Arusha, wauzaji hawaweki picha sijui ni za magendo hizi au vip!? Dar es Salaam vitu wazi gari nje nje mpka plate no
Tysher JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 207 Reaction score 78 Oct 21, 2014 #5 Jerhy said: Ukisikia gari ipo Arusha, wauzaji hawaweki picha sijui ni za magendo hizi au vip!? Dar es Salaam vitu wazi gari nje nje mpka plate no Click to expand... Haaahaa umenifurahisha
Jerhy said: Ukisikia gari ipo Arusha, wauzaji hawaweki picha sijui ni za magendo hizi au vip!? Dar es Salaam vitu wazi gari nje nje mpka plate no Click to expand... Haaahaa umenifurahisha
Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Oct 21, 2014 Thread starter #6 Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri. Gari ipo katika hali nzuri sana na sio ya wizi kama unavyodhani. Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT. Bei ni 8,200,000. Ahsante sana na karibuni.
Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri. Gari ipo katika hali nzuri sana na sio ya wizi kama unavyodhani. Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT. Bei ni 8,200,000. Ahsante sana na karibuni.
Mtoka Mbali JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 237 Reaction score 26 Oct 21, 2014 #7 Mwaka wake?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 21, 2014 #8 Shaycas said: Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri. Gari ipo katika hali nzuri sana na sio ya wizi kama unavyodhani. Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT. Bei ni 8,200,000. Ahsante sana na karibuni. Click to expand... jifunze kuweka picha aisee
Shaycas said: Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri. Gari ipo katika hali nzuri sana na sio ya wizi kama unavyodhani. Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT. Bei ni 8,200,000. Ahsante sana na karibuni. Click to expand... jifunze kuweka picha aisee