Suzuki jimny mpya inauzwa

Suzuki jimny mpya inauzwa

JOGOO JINA

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
44
Reaction score
3
4b3c232a170fe3070becaa5decc31b2d.jpg
 
UMETUWEKEA PICHA TUANGALIE
Maelezo Hayajakamilika, Bei, Eneo na mawasiliano
 
ipo dsm hapa,kama vip nitext kwa whatsapp 0713130144 nikurushie maelezo fresh na picha.
 
We ndo popoma kwelikweli,unadhani biashara ya magari ni sawa na biashara ya soda take away? kama ww ni mzee wa ungaunga usilete matangazo hapa yasiyo na kichwa wala miguu.
 
We ndo popoma kwelikweli,unadhani biashara ya magari ni sawa na biashara ya soda take away? kama ww ni mzee wa ungaunga usilete matangazo hapa yasiyo na kichwa wala miguu.

watu wengine mnamatatizo sana,kaa kimya kama ujui unataka kufanya nini.
siyo lazma ucomment kila unachokiona ukikaa kimya hamna mtu atajua kama wewe ni kiazi(bashite) kiasi gani
 
Nyie ndo mlioacha kutumia kichwa kufikiri na mkaanza kufikiri kwa kutumia triple "WO",hivi ww mwenyewe kujiassess kwa ulichokifanya,huoni aibu kuweka tangazo kibudu? kulikuwa na haja gani ya kukurupuka kama huna full info za kushibisha tangazo lako? kama umeona JF ni mahala sahihi pa kuweka tangazo lako iweje huweki full info za biashara zako.Anyway,nia yangu ilikuwa ni njema tu kwa ww mtanzania mwenzangu unayependa kufanya biashara,nikuambie tu kwa upendo marketing haipo hivyo mzee,jifunze kwa wenzako wanafanikiwaje.OVER
 
Kumbe gari la kwako ndugu,edit tena tangazo lako bwana,ujuwe humu ndani kuna wanunuzi na wasio wanunuzi ila hata hao wasio wanunuzi hushawishika kununua kutokana na maelezo yako kwenye tangazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom