Mi niliinunua hapa hapa Bongo (Jan 2008) ikiwa imeingia kama 20 minutes zilzopita tangu mimi naingia show room. Ni manual na ilinicost Tshs 12.3M ya mwaka 1995. Kwa vile hawa wa show room watakuwa wameweka faida yao, then I guess itakugharimu arround Tshs. 10M