Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Haya sasa waotaka mchuma bado mma wewe tu sisi tunaangalia na macho tuu
Tshs...mamaKwa hiyo bei mhh
Tshs...mama, yaani duh!Kwa hiyo bei mhh
Yaani Wana JF inamaana humu ndani hakuna MTEJA wa kununua gari yangu kwali hatuko Siriasi.Huu mwaka wa haimati sababu sio kama imetumia Tanzania tokea mwaka huo NO. hii ilitumika JAPAN sasa wana JF JIBUNI au..........................................
Jamani hamuna wateja??????? JF vipi hamtaki gari?? au kusema huku watu wanachangia kisha wana slipfowad?
mkuu inaonekana unahitaji hiyo hela fasta shuka bei basi.Jamani hamuna wateja??????? JF vipi hamtaki gari?? au kusema huku watu wanachangia kisha wana slipfowad?