Sasa nitatuma picha ngapi,maana zipo nyingi
Mie sie mwenye gari,ila napita yard nazikuta,maana mie situmii automatic,huwa nanunua manual kwa ajili ya gari ya biashara.
Sasa ndio maana nakuambia kwamba Automatic zipo kibao huku.
Tafuta nauli uje nitakupa mtu atakutembeza uchague unazotaka.Ila ujue kuileta mpaka Dar kama sikosei inakaribia milioni moja na upuuzi hivi karibia ya mbili