SUZUKI CARRY INAUZWA, Odometer 27,100km, namba CKF

Ni cc ngapi?
Outomatic au manual?
Then we can talk business...
 
Plate number haionyeshi kusajiliwa nawe unadai imesajiliwa?

imesajiliwa kwa namba CKF. vibao vipo, havijabandikwa tu hapo kuonesha hakipo barabarani ili atakayekihitaji akikute kwnye hali inayoonekana
 
He, ulitaka uuziwe shilingi ngapi?

nilikuwa na mpango wa kutafuta kimoja mwezi February hadi nikakata tamaa, nilikutana na vikuukuu sana kwa 8m! nimeshangaa hichi kina 27,100km na bima juu... Sina tu hiyo amount kwa sasa mkuu Oyaoya lakini nina imani wadau watakichangamkia humu...
 
Ukiwa na 7.5m ni pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom