Naiuza mil 4.8 ( milioni nne laki nane tu). neg
haina tatizo, haisumbui haijawaiguswa engine wala gear box, inapiga kazi hata sasa
cc 660
sababu yakuiuza, naachana na biashara ya Suzuki Carry
ni ya mwaka 2001
tatizo ililowaikupata nikuingia mtaroni upande wa dereva sehemu ndogo bodi ikanyooshwa na kupigwa rangi basi. lakin ipo bomba tazama picha.
injini na vingine nakugarantiii
nimesema hili kukupa picha kamili
IPO DAR ES SALAAM
PIGa simu 0683125001 acha meseji kama ikiwa Off