Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,175
Na la sivyo tunawafuata huko huko pale statehouse iliyo kwa slum!Na arudishe Tausi wetu...
wacha tuone.kama kweli alirenga wananchi au mambo mengine.Umenoa, sura ya mnafik ni kama hii hapa. [emoji1]Hivi wakati mwingine baadhi yenu nyie watz huwa mnatafakari kuhusu yale huwa mnayaandika au kuyanena? Yaani mpo serious kwenye mtazamo wenu kwamba maamuzi ya rais U.K yangekuwa tofauti na maslahi ya wananchi na nchi ya Kenya kisa tu alizuru Chato na akazawadiwa tausi? Kinachotukondolea macho ni athari kubwa, sanasana za kiuchumi, kupitia tishio kali la kiafya na hata vifo kisa Corona ambayo mnaona sifa kuipuuza, kuibeza na kuingiza ubabe, jeuri na mzaha. Mnadhani nchi huwa inaendeshwa kama kibanda cha mama ntilie au? Kilichomleta rais U.K. Chato ni hayo hayo maslahi ya nchi ya Kenya kibiashara, kiushawishi ukanda huu na labda hata ujasusi kwa nia ya kuendeleza malengo ya nchi ya Kenya. Sio utalii, undugu wala uswahiba. Kila nchi ambayo inajielewa huwa inavuta kamba upande wake ikiwaza kujiendeleza kwa namna yeyote ile, liwe liwalo.
Umenoa, sura ya mnafik ni kama hii hapa. [emoji1]Hivi wakati mwingine baadhi yenu nyie watz huwa mnatafakari kuhusu yale huwa mnayaandika au kuyanena? Yaani mpo serious kwenye mtazamo wenu kwamba maamuzi ya rais U.K yangekuwa tofauti na maslahi ya wananchi na nchi ya Kenya kisa tu alizuru Chato na akazawadiwa tausi? Kinachotukondolea macho ni athari kubwa, sanasana za kiuchumi, kupitia tishio kali la kiafya na hata vifo kisa Corona ambayo mnaona sifa kuipuuza, kuibeza na kuingiza ubabe, jeuri na mzaha. Mnadhani nchi huwa inaendeshwa kama kibanda cha mama ntilie au? Kilichomleta rais U.K. Chato ni hayo hayo maslahi ya nchi ya Kenya kibiashara, kiushawishi ukanda huu na labda hata ujasusi kwa nia ya kuendeleza malengo ya nchi ya Kenya. Sio utalii, undugu wala uswahiba. Kila nchi ambayo inajielewa huwa inavuta kamba upande wake ikiwaza kujiendeleza kwa namna yeyote ile, liwe liwalo.
Sasa huyu mama amekuja na lugha yake" (alirenga) 😂😂wacha tuone.kama kweli alirenga wananchi au mambo mengine.
numbers never lies.
result
0:890 mpaka leo.