Aiseee ni bora uchukue kitu kizuri aisee..haiwezekani uoe mtu ana sura la kiume...hi jf, nko na rafk yngu wa karibu chuo tumemaliza mwaka jana, kinachomsumbua huyu rafk yngu ni kwamba ana girlfrnd wake(mschna yuko chuo 2nd yr) huyo mschana anampnda mshikkaj kupitiliza, she buys alot of thngs 4 him, coz home kwao mambo xafi bt mshikaj anasema ana sura mbaya atamtambulishaje kwa wazazi na rafk zake, mshkaj anataka kudate na mschana mwngne mrembo bt 4m4 failure na huyo mschana hana future navomwona, jamaa ananiomba ushauri eti aende kwa yule mwenye sura nzuri au kwa yule wa chuo,
Naomba tusaidiane kumpa ushauri( he is in dilema).
mawazo mazuri xana bt asigwa unasema achukue ki2 kizuri, je mbeleni kikija kua kibaya itakuaje? je uzuri wa mwanamke uko wapi?
hi jf, nko na rafk yngu wa karibu chuo tumemaliza mwaka jana, kinachomsumbua huyu rafk yngu ni kwamba ana girlfrnd wake(mschna yuko chuo 2nd yr) huyo mschana anampnda mshikkaj kupitiliza, she buys alot of thngs 4 him, coz home kwao mambo xafi bt mshikaj anasema ana sura mbaya atamtambulishaje kwa wazazi na rafk zake, mshkaj anataka kudate na mschana mwngne mrembo bt 4m4 failure na huyo mschana hana future navomwona, jamaa ananiomba ushauri eti aende kwa yule mwenye sura nzuri au kwa yule wa chuo,
Naomba tusaidiane kumpa ushauri( he is in dilema).
kwanza andika kama mtu aliyemaliza chuo kweli................. pili muulize kwanza hiyo elimu ya chuo inamsaidiaje??? akishakujibu ndo uje umuombee huo ushauri
Honestly uandishi wa namna hiyo na mie unaniboaga sana!!!!!!!
Heaven on earth mi mtu akinitumia sms ya aina hiyo siwezi kumjibu aisee
ITS NEVER ABOUT OTHER PEOPLE!!! ITS ALWAYS ABOUT YOU!!!!!!!!!!!!! Swala sio huyo msichana wa chuo au huyo wa kitaa wanampenda, swala ni JE YEYE ANAMPENDA NANI!????????? Every body for himself, but God for us all!!!!!!!
Alafu kwani kumlia mtu pesa lazima uwe na uhusiano nae? You kids are such ARMATURES !!!!!!! Mi mwanaume anaeyumbishwa na WOGA WA KIUCHUMI naungana na Shilole ni Dume Dada tu huyo!