Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,781
mm sija oa ila nimesha yaona mwanamke akiingia kwenye ndoa anakuwa kiburiHuyo ni wakwako, jaribu lako lishinde mwenyewe usitujumlishe wote et kisa wewe uliyemuoa kabadilika
takwimu zinaonyesha wanaume wengi wanabadirika baada ya ndoa
That's true
Hawabadiliki wenyewe bali hubadilishwa na wanawake!