kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Aisee hii familia yako ni kungfu panda tosha. Sidhani kama unalichoandiika hapa ni cha kweliAbari za muda ndugu zangu
Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani
Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe,kisha inayobaki wale yeye na wanaye wawili kwakua inawatosha
Basi nikatengewq mezani. Kwa kua mimi ni baba nikawaita wanangu nile nao supu,sikuwa na hiyana,kiroho safi tu. Nayeye mama mtu akaja nikamkaribisha,akanywa supu.kiroho safi tu
Jioni wakati wakula naona ametenga mboga bakuli mbili kubwa,moja akaqeka maarage nyingine akajaza nyama....
Yenye maarage akanisogezea yenye nyama ikabaki upande wake nawatoto
Nikajiuliza nin hiki? Sikupata majibu yaharaka kwa wakati ule
Tukala kama tonge sita hivi,nikawa napamba bakuli lamaharage
. tonge la saba nikasema sikubali
Sio kinyonge
Nikapeleka mkono nipambe bakuli lanyama,naona mkewangu ananishika mkono ananitoa kwenye bakuli,nikajiuliza naota?
Nikakaushia,najaribu maraya pili naona watoto wanasogeza bakuli ili nisiingize mkono
Mbona supu yangu walikunywa?kwa nn wao awataki nipambe? Hawa madogo wanasahau kabisa mchana walikula supu yangu
Nikakataa unyonge,nikasema waache ukuda,,ama sivyo nitanyang'anya bakuli lote
,, mama yao eti ananinawish anasema nimeshiba, asira zikapanda nikakwapua bakul nikaingia room nikajifungia
Nikala nyama zote,nikatoka..nikaoga nikaenda kuchek gemu... Wao mbona walikunywa supu yangu?sina abari
Mambo ya Lissu na MboweAbari za muda ndugu zangu

Chako changu.....changu ni changu...fungua code hiiiAbari za muda ndugu zangu

Kwahiyo Mh Mbowe ndiyo Faza Hausi anajipakulia minyama mwenyewe hataki mwanawe Lissu nae Afaidi?.Mambo ya Lissu na Mbowe
Huu ni ubinafsi na uchoyo wa hali ya juu sana.Abari za muda ndugu zangu
Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani
Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe, kisha inayobaki wale yeye na wanaye wawili kwakua inawatosha
Basi nikatengewq mezani. Kwa kua mimi ni baba nikawaita wanangu nile nao supu, sikuwa na hiyana, kiroho safi tu. Nayeye mama mtu akaja nikamkaribisha, akanywa supu, kiroho safi tu.
Jioni wakati wakula naona ametenga mboga bakuli mbili kubwa, moja akaqeka maarage nyingine akajaza nyama.... Yenye maarage akanisogezea yenye nyama ikabaki upande wake nawatoto.
Nikajiuliza nin hiki? Sikupata majibu yaharaka kwa wakati ule
Tukala kama tonge sita hivi, nikawa napamba bakuli lamaharage, tonge la saba nikasema sikubali
Sio kinyonge.
Nikapeleka mkono nipambe bakuli lanyama, naona mkewangu ananishika mkono ananitoa kwenye bakuli, nikajiuliza naota?
Nikakaushia, najaribu maraya pili naona watoto wanasogeza bakuli ili nisiingize mkono.
Mbona supu yangu walikunywa?kwa nin i wao awataki nipambe? Hawa madogo wanasahau kabisa mchana walikula supu yangu
Nikakataa unyonge, nikasema waache ukuda, ama sivyo nitanyang'anya bakuli lote, mama yao eti ananinawish anasema nimeshiba, asira zikapanda nikakwapua bakul nikaingia room nikajifungia.
Nikala nyama zote, nikatoka..nikaoga nikaenda kuchek gemu... Wao mbona walikunywa supu yangu? Sina habari.
Baba zima unalalamika mkeo kakukazia nyama kuna watu wanakaziwa unyumba huko.Abari za muda ndugu zangu