gentlemanx JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 2,383 Reaction score 7,227 Jan 10, 2016 #1 habari zenu wana jf.. nina toa huduma ya kusupply vifaa vya bomba pamoja na stationery,kwa yeyote atakae hitaji ani PM
habari zenu wana jf.. nina toa huduma ya kusupply vifaa vya bomba pamoja na stationery,kwa yeyote atakae hitaji ani PM
K kikaniki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 508 Reaction score 979 Jan 10, 2016 #2 gentlemanx said: habari zenu wana jf.. nina toa huduma ya kusupply vifaa vya bomba pamoja na stationery,kwa yeyote atakae hitaji ani PM Click to expand... Kwa nini ufanyie biashara gizani? 1. Weka mawasiliano yako hapa kila mtu aone. 2. Tuambie upo wapi? 3. Tuambie kama wa mikoani wakihitaji, watapataje? Gharama za kusafirishia ni za nani? 4. Tuwekee baadhi ya picha za vifaa vyako kama ni masinki, vyoo etc 5. Weka japo bei ya vitu viwili ama vitatu Mambo ya ku-pm ya nini? Maduka yamejaa tele.
gentlemanx said: habari zenu wana jf.. nina toa huduma ya kusupply vifaa vya bomba pamoja na stationery,kwa yeyote atakae hitaji ani PM Click to expand... Kwa nini ufanyie biashara gizani? 1. Weka mawasiliano yako hapa kila mtu aone. 2. Tuambie upo wapi? 3. Tuambie kama wa mikoani wakihitaji, watapataje? Gharama za kusafirishia ni za nani? 4. Tuwekee baadhi ya picha za vifaa vyako kama ni masinki, vyoo etc 5. Weka japo bei ya vitu viwili ama vitatu Mambo ya ku-pm ya nini? Maduka yamejaa tele.