Jaman ningependa kusaidiwa,
Kama umeshalipa pesa kwa ajili ya mtihani wa TAIFA kwa ngazi ya CHETI bahati mbaya ukateleza na visupplementary eti Kuna kulipa tena fedha ili ufanye upya mtihani au so Sawa kulipia tena
Kumbe ni Education? ngoja walimu wenzako waje kukusaidia maana wengine chuo hatukuwa na mitihani ya Taifa tulikuwa tunamalizana na MaDR kmya kimya kwenye supp