Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Habari zenu wakuu!
Kwa ambao wanasoma UDOM
Wwamesema kwenye web kuwa supp ni kwa mwaka wa kwanza pekee yao, sisi mwaka wa pili tunafanya lini na inahusisha ngazi ya certificate adi masters?
Msaada wadau.
Bado mzee kapinga anakamata watu wa History? Kwa wale wa ng'ong'ona ME na FE bdo ni mabingwa wa kuwapa watu sup?

Hvi mtu unasoma udom then unasupp,what if ungesoma ud au Sua,c ungeshadisco kwa zile presha tu?

Karibu tule kichwa inaonekana hujui unachozungumza UDOM unadhani ni mteremko uliza uambiwe usipime kina cha Maji kwa mguu! Dharau za namna Hii SI nzuri, zungumza ukiwa na ushahidi wa hayo, mchujo UDOM kama kawaida , utafaulu kwa juhudi zako, Haya ndio yanayofanya vijana wanakuja UDOM na NO KUFELI SLOGAN , mwisho wa siku wanaishia kulia hovyo . Msodanganyike UDOM Shule kama kawaida jiandaeni mapema muweze kufikia malengo yenu.Hvi mtu unasoma udom then unasupp,what if ungesoma ud au Sua,c ungeshadisco kwa zile presha tu?