CBE ni chuo cha vilaza matatizo yake hayatuhusu watanzania.
Wanachuo wanauwezo mdogo ile ajabu.
Endeleeni kudoo huko magesti mkiishiwa hela fanyieni hata in lecture thearta.
tutolee ubishi usiokuwa na msingi hapa.Kama ngono ni kigezo hapo CBE kuchomoa suppl sasa huo ni nini kama sio ukilaza?Hicho chuo ni kwa ajili ya wale wasiojiweza kabisa kiakili, graduate wa CBE hawezi kutumia programm za kawaida za computa.Ukiona Research pepa zao za mwaka wa mwisho utadhania ni form four wa Loyola secondary.Nawajua sana manake hata jirani yangu nilimshauri ampeleke mwanae kilaza hapo CBE na anafaulu sana tuu mpaka leo mama yake ananiheshim mwanae atapata digrii.Marytina
Sijui kama ni maneno ya busara kuita chuo kuwa ni cha vilza kwa kuwa vilaza hawawezi kuwa chuo wanakuwa nyumbani, CBE kama chuo kingine chochote wanakuwa na entry Qualification na kama hujazifikia huwezi kujiunga na chuo hicho. Embu tupe justification kuwa CBE ni chuo cha vilaza.