wewe unaonekana ni mgeni kwenye hili jukwaa hivi **** mtu yoyote hajui baya na zuri kweli?it's possible but against the law. it is better ukichakachua mwenyewe kuliko kuuliza ushauri huo hapa, maana kama tukikupatia hiyo means that means tunasupport uhalifu. In short huo ni wizi.
Sorry buddy.
In short jukwaa hili halikufai mkuu, nenda majukwaa mengine kama la siasa huko kunalongolongo kama hizo zako za ku qoute na vifungu vya sheria@omary salum: ingawa mimi sio mgeni but nimekuwa silent observer for almost three years now. Kwa kukujibu tu, ugeni wa hii forum haimaanishi haujui zuri au baya. Ilikuwa ni ushauri tu kulingana na kanuni zisemavyo. Na kama anajua hili ni baya na jf hairuhusu kwenye rule #3 ibara ya 3, 4 na 5 then kwanini kauliza?
Mkuu endelea kukaa kimya, au nenda jukwaa la sheria huku hakukufai.@omary salum: ingawa mimi sio mgeni but nimekuwa silent observer for almost three years now. Kwa kukujibu tu, ugeni wa hii forum haimaanishi haujui zuri au baya. Ilikuwa ni ushauri tu kulingana na kanuni zisemavyo. Na kama anajua hili ni baya na jf hairuhusu kwenye rule #3 ibara ya 3, 4 na 5 then kwanini kauliza?
Na wewe umetokea wapi tena kama wewe unaweza msaidie basi.Embu jaribun kuwa wised!ww kama haulewi jinsi ya kumsaidia mchizi kaa kimya!hauna pointi co unaanza kutuchanganyia habari!!embu huko!
Here is the thing: hata kama kuna mtaalamu humu wa TTCL modems asimwage ujuzi hapa. Aweke post kwamba he can do it, then PM kwa sababu hata wafanyakazi wa TTCL wanaweza wakawemo humu. We unadhani kwanini uchakachuaji wa modems na decoders haudumu siku hizi? Wanasoma tricks zenu humu halafu wanaenda kuziba loop holes zao. Ubaya ni kwamba hata wao nao wanaweza kukuPM. Just find an easier way to exchange skills lakini sio kupost kwenye open thread.