englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Open air retreat: There is also an option for nature-lovers to sleep under the stars on your their rocky outcrop
Huo mji haunaga mvua?
Open air retreat: There is also an option for nature-lovers to sleep under the stars on your their rocky outcrop
Choo ni ndani kwa ndani au mpaka utoke nje?
Kuchoronga mawe kama hayo unafikiri bei itakuwa sawa na hotel iliyotumia matofali ya Twiga cement mchanga mwingii...Hotel nzuri, na nahisi itakuwa bei mbaya kweli
Kuchoronga mawe kama hayo unafikiri bei itakuwa sawa na hotel iliyotumia matofali ya Twiga cement mchanga mwingii...
Hapo shughuli ilikuwa wakati wakutafuta sehemu ya kuchimba shimo la choo....
Baada ya tank kujaa linamwagwa wapi mkuu?Haha wanakusanya kwenye tanki mkuu
Baada ya tank kujaa linamwagwa wapi mkuu?
Usalama upo kweli hapa? Kulala nje? Unaweza kujikuta umelala na chatu.
Mamtoni hakuan hiyo kitu mkuu, huko hata inzi wanawasoma kwenye Biology na kuja kuwatalii AFRIKA tu...dengue nje nje.....
Usalama upo kweli hapa? Kulala nje? Unaweza kujikuta umelala na chatu.