Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

sera ya majimbo ni hatari sana kwa afya ya ukuaji wa taifa letu changa,tusimshambulie mleta hoja kwa kuwa tu kamgusa king MBOWE na Sultan slaa....sera ya majimbo italeta utengano na ubinafsi na hata ukanda pia na kuharibu mshikamano wa kitaifa tulionao...mleta hoja amechanganua vizuri sana na kama una akili timamu huwezi kukurupuka tu na kusema mleta hoja eti hajamaliza hata la saba...ni kujitia ujinga tu kwa mawazo hayo...hapo angeguswa ustadh Kikwete ndo mngekenua meno balaa...wakiguswa wafalme wenu mnashupaza shingo na kutoka mapovu mdomon....
uungwana ni kuchangia kwa heshima na kama great thinkers na wasomi pasipo kuwa bias ili tujenge taifa letu

samahani lakini maana hamchelewi kuitisha maandamano ya kuja kunitukana na kunikejeli
 

inavyoonekana wewe ni miongoni mwa wale ambao wana macho na wanajisingizia vipofu. umesoma kweli au umesimuliwa tu na watu. si ameeleza bayana kuwa kitendo cha cdm kutekeleza sera za majimbo kwa kuandamana ni uvunjaji wa katiba na sera za nchi? si mawazo yao wangeyatoa kwenye mikutano ya katiba?
 

ni kweli ndugu. hapo walipo wameanza kuhamasishana kwenye JF ili CDM wote waanze kuandamana kutokana na kuguswa viongozi wao. na umewaona wameanza kutukana badala ya kujibu hoja.
 


hata haueleweki unasimamia kitu...mara baadhi ya majimbo yameendelea kwa ruzuku ya chama....mara wakoloni waliendeleza baadhi ya maeneo.....mara ooooh kigoma siku hizi inawaka taa....

Ni kitu kilichofanya kigoma kusiwe na umeme wa uhakika toka uhuru mpaka miaka 50 baada ya uhuru

Kwa nini mikoa ya kusini iko nyuma kimaendeleo toka uhuru..mfano, miundombinu mpaka miaka michache iliyopita...NA SERIKALI KUSHINDWA KUMALIZIA KILOMITA CHACHE MPAKA LEO....na kwa nini serikali hiihii iliacha reli ya dar-tanga......ife na ile ya iliokuwa kusini kung'olewa kabisa........

Serikali hiihii reli ya tazara inaifia mikononi mwake......

Watu mikoa ya kusini wamegubikwa na umaskini wakati wanavuna matani ya moja kati ya mazao muhimu ya kibiashara korosho....unafikiri kama kusini kungekuwa na uongozi wa jimbo ambao wanaguswa moja kwa moja na hiyo korosho ingekuwa inachezewa hivyo wananchi wangewawabisha tofauti na sasa waziri yupo zake dar anakula maisha tu........ mambo mengi yanaharibika kwa sababu viongozi hawana uchungu na maeneo fulani wape watu nguvu kujiamulia mambo yao wenyewe


MAJIMBO MUHIMU
 

Hafadhali sana leo thatha kawaweza , nimeamini ukweli unauma kwa jinsi mnavyotapatapa. Aendelee hivyo hivyo.
 
Mleta uzi yaonekana hajui nini faida ya sera ya majimbo. Kwa ufupi sana sera hii inapunguza sana ufisadi na rasilimari za taifa kuunemesha watu wachache au familia chache kama ilivyo sasa hivi. Ungekuwa na uelewa mdogo ungeweza hata kuzunguka japo kidogo tu Tanzania hii na kama ungerudi na uzi wako huu....Hebu jaribu kutembelea Buhemba uone jinsi sera zenu CCM zilivyowafanya watu wa eneo la Buhemba! Madini yalichimbwa,mashimo ( Mahandaki) na wakaachiwa wananchi wa Buhemba wakiwa hoi bin taabani huku wajanja wakineemeka kama kawaida na kwa vile nchi yetu haina mwenyewe vilevile tembelea maeneo yote yenye migodi uone wananchi wanaozunguka migodi hiyo walivyo hoi...sera za majimbo ni ukombozi kwa Tanzania na itapunguza watu wachache kuimiliki nchi hii ambayo kwa sasa haina mwenyewe.
 
hahhhah..tunawajua hao na ndo maana kila siku chama chao kinazidi kupoteza umaarufu kwa kuwa hawapendi challenge..lakini angekuwa ameguswa JK,EL na wengine wa ccm au ZZK wao hapo ungeona wanavyokenua mimeno kama mbwa mwitu wenye njaa kali...muda si mrefu wanaandamana hapa na matusi yao...mimi nawasubiri hapa


ni kweli ndugu. hapo walipo wameanza kuhamasishana kwenye JF ili CDM wote waanze kuandamana kutokana na kuguswa viongozi wao. na umewaona wameanza kutukana badala ya kujibu hoja.
 

1. Unastahili ufungwe jiwe utose majini, upotee kabisa!!!
2. Kwenye bluu- kweli umefanya tafiti gani ukahitimisha kwamba mikoa uliyotaja ndio yenye waumini hawa na sio wale? Hujafanya utafiti, kaa kimya
3. Kwenye rangi ya kahawia- hivi ni Mkoa au kanda gani Tanzania ambayo haikujaliwa raslimali asili Tanzania, nitajie Mkoa Mmoja, hata basi wilaya moja! Ipi? Dodoma? Singida(hata bila kusoma unajua upepo- wind power ndio pake hapa? Ruvuma? Ni wapi!
4. Kweli ungeliweza kuwa na timu ya Taifa ya Mpira kama usingekuwa na vilabu? Yaani uwe unaandaa timu mmoja tu kwa taifa ili kusiwe na mashindano ili upate timu yenye kuwa na usawa sijui na ujinga gani mwingine! Hujui ushindani ni siri ya maendeleo- Of course CCM haiwezi kusimamia ushindani. Imeshindwa kusimamia mawaziri wake wanadonoana macho kila kukicha sembuse ni kusimamia kanda na magavana wake?

Hoja gani umeleta sasa!?
 
sera ya majimbo ndio inayoitafuna Nigeria sasa hivi, nchi imegawanyika vipande vipande kilichobaki ni vita tu
What about USA??? Mbona umejivika upofu na kujitoa ufahamu bila sababu za maana???USA nao pia wana sera za majimbo unalipi la kuongea hapo??? Tatizo lenu mnakwepa ukweli na kujificha nyuma ya mifano mibovu ili kutishia watu. Je hujaona nchi iliyogawanyika na yenye vita chini ya sera ya mikoa pia??? Kinachosababisha vita sio sera ya majimbo au ya mikoa!! Ni uongozi mbovu kama huu wa maCCM.

Kama sera za majimbo zitakuwa chini ya serikali ya CCM for sure mtatupeleka pale ilipo Nigeria, mana hata hii sera ya mikoa imewshinda kuiinstitute properly. Ila kama zitakuwa chini ya CDM, hilo halipo.
 
sijaona mantinki ya ulichopost hapa
sana sana nendaa kachukue mshiko wako lumumba
sera ya majimbo ina maana kubwa sana hata mm naiunga mkono
Mi CCM kubisha kila kitu ili waendelee kutumbua rasilimali zetu.

mmeshazoea kutumbua hizo hela kwa maslahi yenu kama fedha za utalii, madini, sasa mnataka za gesi na mafuta
mikoa yenye hizo rasilimali ikibaki maskini. wezi wakubwa nyie mwisho wenu umeshafika
mnakesha JF kutukana chadema, tekelezeni ahadi zenu kwa wananchi msitake tuwe kama Kenya 2007
hakuna kuiba kura na katiba mpya ndio kifo chenu kwani tume huru ya uchaguzi itawaumbua.
 

shida ndiyo. watu wanauona ukweli lakini kwa ukaidi wao tu na mapenzi yao kwa CDM wanakanusha kila kitu kizuri kinacholetwa dhdi ya chama chao na kusingizia kuwa wameandikiwa na making wa CCM
 
Ww thatha unatumia masaburi zaidi. hilo andiko lako limekaa ki Lumumba zaidi. kachukue posho leo ijumaa.

asante sana mkuu kwa kulainika, sasa peleka taarifa kuwa kumbe kila kitu kinajulikana wajipange upya.
 

USITOE mifano ya USA ambayo hulingani nayo hata kwa chembe. Umetolewa mfano wa Nigeria ambayo tunafanana katika mambo mengi wewe unaulizia kuhusu USA. Pitia kwenye historia uone kwa nini USA wamekuwa na mfumo huo na kaone ikiwa majimbo yote yapo sawa kimaendeleo. Je hapa TZ unafikiri hali itakuwaje? nikiifikiria kigoma, rukwa na Lindi
 

Mkuu nakushukuru sana kwa kuniweka juu maanake hawa jamaa baada ya kukosa hoja wameambiwa kazi kubwa sasa iwe ku-attack great thinkers, pamoja sana, kesho nitakuleteeni nyingine kali ambayo nitaaiipua jikoni asubuhi sana.
 
Changamsha ubongo wako mkuu. Hao CDM muda ukifika watanyea debe waache tu wananchi wachanganyikiwe kwanza kwa ulaghai wao watakuwa wanawafuata mmoja baada ya mwingine.

Kama kwa maelezo haya ndo umenifafanulia basi sina la kukuuliza tena. Watawala wenyewe unaowatetea ndo hawa hawa wanaowaacha chadema wawalaghai wananchi bila wao kuchukua hatua yoyote? Binafsi naona watakuwa hawafai kabisa kwa sababu hawawezi kuwasaidia wanaolaghaiwa. Pia, si vizuri kuwatisha watu kwa vitu ambavyo havipo kwani hizi si zama za siasa uchwara za ukichagua wapinzani wataleta vita!
 

Uliza KIVUITU wa kenya sasa yuko wapi? halafu, mbona kila post dhidi ya CDM mnasingizia CCM. halafu kumbe ndivyo mnavyofanyaaaaa...... shida ndiyo hiyo. kujibishana na watu wenye kutaka maslahi ya kifedha ni hatali kweli. wewe unalipwa kiasi gani hapo kinondoni unapojifungia kuangalia tu taarifa zisizowapendeza wakubwa zako?
 
Na kwa kuongezea: ccm kwa sasa wanapita majumbani na kuwarubuni akinamama kununua kadi kwa 1500, na kufungua account kwa 10000, eti watawapatia mikopo! wizi mtupu! leo ndiyo wanawaona wanastahili kufungua akaunti?
 
z.o.b.a kweli!unamaanisha umaarufu upi unaopotea.yaani unajitahid kuubishia ukweli.lopoka utukane tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…