mkuu hizi transformer maranyingi zinakuwa na utata sana so kama vipi bora utupie tu win7 kama computer yako ina suport vinginevyo install upya tu hiyo XP.pole sanaWjameni msaada wenu nauomba,ninatumia sumsung model nloitaja hapo juu ilikuwa na windows xp na nieinstall window 7 ultimate transformer ila nashangaa ghafla nimeiwasha inatoa black screen with no error msg nimejaribu kurepair window lakini tatizo ni lilelile kwani cd inacopy mafail lakini ikimaliza hairestart from hdd inishia kama awali kwenye black screen.Nimejaribu kuchange boot order kwenye bios kwa kuiweka hdd first lakini haijaboot Nikijaribu kurun live ubuntu inakubali,Nifanye nini kutatua hili tatizo.
Wjameni msaada wenu nauomba,ninatumia sumsung model nloitaja hapo juu ilikuwa na windows xp na nieinstall window 7 ultimate transformer ila nashangaa ghafla nimeiwasha inatoa black screen with no error msg nimejaribu kurepair window lakini tatizo ni lilelile kwani cd inacopy mafail lakini ikimaliza hairestart from hdd inishia kama awali kwenye black screen.Nimejaribu kuchange boot order kwenye bios kwa kuiweka hdd first lakini haijaboot Nikijaribu kurun live ubuntu inakubali,Nifanye nini kutatua hili tatizo.