charge kwa smart devices hutokana na matumizi yako...kwa matumizi ya kuangalia movie na browsing au kupiga simu haita maliza masaa mengi (sijafanya tafiti kwa matumizi hayo). ILA kwa matumizi ya kawaida ya kusoma na kuchat inakaa zaidi ya masaa 8 mpaka kumi na moja kutegemea na utumiaji