The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
A10 shilingi ngapi?SAMSUNG A2 Core TSH 220,000/=, A10s TSH 350,000/=View attachment 1349963View attachment 1349964View attachment 1349965View attachment 1349966
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii biashara itakua ngumu sana kwako, nakushauri kabla hujapanga bei ufanye utafiti kwanza.
Mkuu hii biashara itakua ngumu sana kwako, nakushauri kabla hujapanga bei ufanye utafiti kwanza.
Hizo A10 maduka mengi kwa sasa hazizidi 250k, ni laki 2 maximum 250k huko mokoani Wewe unaweka 350k hapa Dar, nikiongeza 50k hapo napata A30 ambayo wewe unauza 600k.
Hii biashara itakua ngumu sana kwako
Mwezi 10 nimemunulia mchepuko wangu A30 450k na risiti ya efd juu. A20 ilikua 350k maximum, a10s ni 300k hadi 320k.Hayo maduka ya wapi mkuu hizo A series zinatofautiana mfano A20 ni 350,000/= na A20s ni 450,000/= hiyo A10 sawa lakini A10s ni more Advanced ya A10 ndio maana bei zinatofautiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maduka mengi A10s 365000/= mwisho 350, 000/=,A2core inauzwa 230,000/= mwisho 220,000/= ambazo mi ndio naanzia na naweza kukupunguzia bei mkuu.Mkuu hii biashara itakua ngumu sana kwako, nakushauri kabla hujapanga bei ufanye utafiti kwanza.
Hizo A10 maduka mengi kwa sasa hazizidi 250k, ni laki 2 maximum 250k huko mokoani Wewe unaweka 350k hapa Dar, nikiongeza 50k hapo napata A30 ambayo wewe unauza 600k.
Hii biashara itakua ngumu sana kwako
Na hizo ni bei za hapa Dar mkoani lazima bei iwe juu kidogo.A30s Maduka mengi A10s 365000/= mwisho 350, 000/=,A2core inauzwa 230,000/= mwisho 220,000/= ambazo mi ndio naanzia na naweza kukupunguzia bei mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app