Sumsang galaxy kwa bei nafuu

Godo

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
1,107
Reaction score
1,488
Njoo Mwenge sokoni nyuma ya hotel ya jamilex ambapo kuna benk ya ECO BENK na AZANIA BENK utaona bango pita njia tokea barabara ya nyuma utaona jengo la gorofa moja juu kuna utaona bango la SUMSANG GALAXY na utakuwa mjanja kwa kumiliki sumsang kwa hadi shilingi 220000 na kuendelea acha kupitwa na wakati miliki galaxy yako,

Ukiwa ofisini tunakuletea piga 0674839141

Vitu vya ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sumsang[emoji777] futa
Andika Samsung [emoji818]
Na bei pia futa, andika bei poa utawachanganya watu kamanda
Kitu ambacho umeshindwa kujua ni kuwa hizo simu ni sumsung na siyo samsung kama unavyomshauri. Huwezi kuwa muuzaji wa bidhaa halafu ushindwe kujua bidhaa yako inaitwaje! Hayo ni haya ma-simu fake ya kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…