Jamani mwenye taarifa nasikia Sumry ya Kigoma imepata ajali mida hii maeneo ya Nzega eti imetumbukia kwenye korngo/mto, habari imekatika sijapata vema. Mwenye taarifa please
Ni njia ya shortcut Nzega - Kahama, na njiani wamepata ajali, aliyenijuza simu imeisha charge na anasema kaumia. Gari limeanguka kiubavu, gari limetoka Dar leo 0600 Hrs.