Sumaye amekuwa 'Betri' ya Lowassa...

Kweli magufuli ni mpiga kazi tena sana ila mahali alipo ndio shida! Je ngoma ataiweza. ....?
 

Wewe ndio zero
 
Kama kuna kitu cha hovyo kabisa ambacho UKAWA wamefanya, ni kuwakumbatia hao oili chafu na watu waliotemwa CCM.
Wameacha msimamo wao wa kupinga ufisadi, sasa wanewakaribisha mafisadi, ati hao ndo assets.
HuyuSumaye wala hajaeleza wanavyoweza kufanya kazi mbadala kuendeleza nchi, kutwa kuchwa ni kukashifu .

Hapa Mbowe aelezwe, tena bila chenga chenga, tumeliwa!
 
Wewe ndio zero
Ni ukweli usiopingika Sumaye ni zero!
Umaarufu wake tu ni kwamba aliwahi kuwa waziri mkuu, lakini hana ubunifu, hana ushawishi na si mtu wa mikakati endekevu.
Tutegemee nini kutoka kwa mtu mwenye certificate ya kilimo toka Egerton Kenya?

Huko kwao tu alibwagwa kiti cha u-NEC na mama Nagu.
Huyo ni zero wa ukweli!
 
Wewe ishi maisha ya siasa watu wanataka maendeleo si maneno
Maendeleo yapo kila mahali we huyaoni.
Kama unataka yakufuate shimoni hili ni shauri lako!
Barabara nzuri hadi ulipo, sasa unataka bado uamshwe ukafanye kazi, endelea kula pombe.
 
Mnatia huruma,ila ccm hapana,semeni yote nimekufa nimeoza,nakupenda Lowassa naipenda Ukawa
 
watoto wanakaa chini, dawa hazipo,watoto wanadumaa , miji michafu kama laana ndio unachojivunia ? unajivunia hotuba mtu unatoka mwenge hadi chalinze hotuba inaendelea? utakuwa mtu wa chalinze wewe

Ndio atuambie sasa, nini kifanyike ili watoto wasikae chini, maana hata wewe umesema hayo hayo! Sumaye ni ziroooo.
 
Umeandika rubish, rubish.... Nineona tu Mzee Mwanakijiji kalike
 
Ni kweli Magufuli kaonyesha utendaji mzuri hata ile boti ya Dar to Bagamoyo ni kielelezo tosha ukiongeza na alivyosimamia kuuza nyumba za serekali ndio utapata majibu yote.

Katika muda mchache ambao Magufuli amekuwa mtendaji, ameonyesha kutozembea viongozi wabovu chini yake na ni mfuatiliaji.
Lets give him a chance.
 
Hahahahahaa kwahiyo mlitakaje? Sumaye arudi CCM au mbona hamueleweki? Sumaye yupo kwenye timu ya kampeni ya ukawa au wewe unajisikia wivu?
Watanzania tumemwelewa vizuri sana Lowassa na tumempenda na mwishowe tutamchagua ifikapo tarehe 25 Oktoba

Lowassa ni jiwe mlilolikataa waashi leo limekuwa jiwe kuu la msingi, hivyo tulieni dawa iwaingie.
Mmebakiza siku 36 Ikulu ya magogoni mnaiachia japokuwa hampendi huo ndio ukweli mchungu, bora mjiandae kisaikolojia kuliko kujifanya mnajitutumua mtapata presha siku hiyo.

Ndio maana mgombea wenu anatapatapa kuiba mpaka slogan ya chadema, kwakuwa hajui sheria inakataza sasa tunampeleka mahakamani kwa wizi

Nimekujibu kipropaganda kwakuwa umeandika kipropaganda, hapa propaganda ndio makao makuu

Ni hayo tu

#MabadilikoLazima2015
#MabadilikoNiLowassa

Piiiipoooooz ...........
 
Mtaishia tu kusema ccm out bila hata kujua utai out vipi! Ha ha ha babu Duni huyooooo anajirudia zaake CUF kachoka na ulaghai!

Ndio mlilobakiza eeeh, Mlimnunua lipumba holaaa, mkamnunua Slaa holaaaa, mkanununa mpaka wasanii mfanye fiesta holaaaa, Ray holaaaaa, Aunty Ezekiel holaaaaaa hahahahahahahah poleni loosers
 
Endelea kutukana na kujifariji tu hapa, wenzenu UKAWA wanasonga mbele kwa kasi ya ajabu, muda si mrefu utawakuta ikulu, Lowassa anateka majiji, miji na vijiji kila anapofika.
 

huu upumbavu mpelekew mamaako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…