Sumatra wamewapigia simu watu kuhudhuria usaili wa nafasi walizotangaza
tarehe 30/12/2013 wameitwa kuhudhuria usaili walioomba nafasi ya administrative officer 1 nafasi nyingine sifahamu . Kuna ndugu yangu wa karibu ameitwa kuhudhuria huo usaili
Aisee simu yangu ilikuwa imeharibika week nzima hii, hawajayatoa majina sehemu yoyote au waweza nsaidia number yao ili ni confirm kama na mimi nimo maana nili apply pia. Nitashukuru mkuu kwa msaada.