Suluhisho ni Lipi?

Everything has time to heal, no matter how bad your heart may be broken
 
kikubwa ni kuwa mwangalifu tu na safari ya mbele ili usikutwe na yaliyokukuta nyuma
 
Mi nimegundua ukiziondoa zawadi na vitu ambavyo vinaweza kukumbusha huyo mtu inasaidia kiasi. Yaani kama kwa kuvigawa au kutupa alimradi tu usiwe na kitu kama perfume juu ya meza ambayo unaiona kila saa.
Pia ilinisaidia nlipofuta emails zake zoooote maana zilikuwa zinaniongezea machungu tu.
Ila juu ya yote time is still the best way of healing such situations.
Vaslay yamekukuta ndugu? Pole sana
 
Pole sana my..mimi ilitokea muda sana and i moved on ila ni kitu ambacho nimeona kizuri kukibandika hapa coz wahanga ni wengi
 
Uliachwa kwa sababu gani?...huwezi kuachwa tu bila sababu labda uligawa nje au hukutimiza majukumu yako...unabaki kukumbuka wakat mwenzio kasahau hata kama upo duniani
 
Uliachwa kwa sababu gani?...huwezi kuachwa tu bila sababu labda uligawa nje au hukutimiza majukumu yako...unabaki kukumbuka wakat mwenzio kasahau hata kama upo duniani

Hahahaha mkuu huna huruma
 
Uliachwa kwa sababu gani?...huwezi kuachwa tu bila sababu labda uligawa nje au hukutimiza majukumu yako...unabaki kukumbuka wakat mwenzio kasahau hata kama upo duniani

yaan wewe nadhani ndo unayaanza mapenzi....
unadhani kuumia ni lazima kuachwa tu??
Pole maana unasafari ndefu ya kuwa na utambuzi.
 
Mkuu dizain za namna hii majanga sana kaa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…