Sukari inapoingiliwa na sumu

Black chinnes

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Hakika upinzani ulikuwa unaenda vizuri lakini tamaa ya baadhi ya viongozi wa vyama hivyo hasa chadema wameamua kuchanganya sumu ndani ya sukari,imani ya wananchi inapungua siku baada ya siku,mtu waliemuita fisi mlafi leo kageuka kondoo mnyenyekevu lahaula!hizo ndo siasa za bongo
 

Sasa imani ikizidi kupungua si ndio faida kwenu magamba kwa maana mtashinda kirahisi kuliko uchaguzi wowote uliowahi kutoka hapa nchini sasa mnatia tia huruma nini job makini aliimba unitiii sikutiiiii ila nakutiaaa adabuuuuuuuuu subiri mtaelewa tu
 

Wewe ni Lizaboni , kazi kubadilisha ID tu, pumzika tu ndugu yangu, mwenyekiti anazurura huko wewe unajikondesha kwa ujinga
 
Last edited by a moderator:


Sasa nyie mna shida gani?? mbona mnahangaika nao?? sasa si mnefurahi maana kawarahisishia kazi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…