Kwa mtaji wa 25mill itakuwa changamoto kaka.Fanya ya cement,mbao(kachukulie mwenyewe iringa),bati kipaumbele hivyo,kisha vingine changanya, sijui gypsum,sijui bisibisi,kifupi kwako iwe akija mtu hatoki(hakosi bidhaa)
Tutashukuriana miaka ya mbeleni huko.
Labda nifanye cement, bati, nondo,gypsum brd, gpsum powder..hivyo vingine nitaongezea mbele...Fanya ya cement,mbao(kachukulie mwenyewe iringa),bati kipaumbele hivyo,kisha vingine changanya, sijui gypsum,sijui bisibisi,kifupi kwako iwe akija mtu hatoki(hakosi bidhaa)
Tutashukuriana miaka ya mbeleni huko.
Inaonekana ushauriki wewe.Kwa mtaji wa 25mill itakuwa changamoto kaka.
Kumbe dangote alirudiInaonekana ushairiki wewe.
Ukienda kiwandani kwa dangote kwa 6M unaletewa mifuko 600 ya cementi, zingine ukiweka na bari kidogo na vifaa vingine, life linasonga.
Badi we kaweke bisi, bisi na nyundo sijui gypsum uone
Kwani aliondoka?Kumbe dangote alirudi
Hivi katika ujenz wa kawaida nondo zipi zinatumika..Fanya ya cement,mbao(kachukulie mwenyewe iringa),bati kipaumbele hivyo,kisha vingine changanya, sijui gypsum,sijui bisibisi,kifupi kwako iwe akija mtu hatoki(hakosi bidhaa)
Tutashukuriana miaka ya mbeleni huko.
milioni 6 mifuko 600 hupatiInaonekana ushairiki wewe.
Ukienda kiwandani kwa dangote kwa 6M unaletewa mifuko 600 ya cementi, zingine ukiweka na bari kidogo na vifaa vingine, life linasonga.
Badi we kaweke bisi, bisi na nyundo sijui gypsum uone
mm 10, 12Hivi katika ujenz wa kawaida nondo zipi zinatumika..
Mkuu sijaelewa swali lakoKwa makadiria 10 na 12..zinatumika ngapi ngapi
12mmHivi katika ujenz wa kawaida nondo zipi zinatumika..
Usiingie kwenye bati, watu siku hizi wananunua viwandaniBati ni bei gani mkuu
Mi binafsi napenda sanaa kilimo.Hello wanajamii,
Ninataka nizifanyie kitu hizi 25million (after taxes, rents and fees) pale mjini Dodoma. So nilipata options tatu ambazo kwa kupitia uchambuzi na miongozo yenu inaweza kunisaidia nikachagua lipi.
OPTIONS ZENYEWE:
1: Hardware ya vifaa vya ujenzi kama vile pliers, bisi bisi, discs, nyundo, misumeno, brush, etc, lakini isio kuwa na material kubwa za ujenzi.
2: Hardware inayojihusisha na material za finishing tu kama vile gypsum brd/powder, tiles, rangi, pvc brds.
3: Hardware yenye cement, nondo, gypsum board, bati, gyspum board na powder na white cement.
Unazungumza unachokijua au unachosikia ndugu yangu?Kwa mtaji wa 25mill itakuwa changamoto kaka.