Yah ni ushauri mzuri,kuna binti mmoja aliniambia kuwa mama yake alishamwambia katika kupiga stor tu kuwa asijaribu kuleta mchumba mwenye dini ya kiislam lakini bint ana mchumba muislam na kadri muda unavyozidi kwenda uhusiano unakomaa ndo pale inapofika wakat wa kuish pamoja wazaz wanapinga ianleta shida wkt mzaz alisha weka msimamo mapema kabisa,hillo ni la muhimu sana kuangalia wazaz wanasemaje juu ya dini.