Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Nov 1, 2022 #1 Wana jf habari subwoofer yangu nauza Inatumia Bluetooth, flash, memorycad Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia Volume 98 Bei 95,000 Nipo Chanika dar es salaam Mawasiliano 0623892902
Wana jf habari subwoofer yangu nauza Inatumia Bluetooth, flash, memorycad Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia Volume 98 Bei 95,000 Nipo Chanika dar es salaam Mawasiliano 0623892902
W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,229 Reaction score 4,834 Nov 2, 2022 #2 Chukua hamsin nikuelekeze sehemu upeleke chap
Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Nov 3, 2022 Thread starter #3 Habari wana jf nauza subwoofer yangu ipo vizuri sana Volume 98 Mdundo wa kutosha Bei nauza 95,000 MAONGEZI YAPO TUTAFIKIA MUAFAKA NAMBA 0623892902 CHANIKA DAR ES SALAAM
Habari wana jf nauza subwoofer yangu ipo vizuri sana Volume 98 Mdundo wa kutosha Bei nauza 95,000 MAONGEZI YAPO TUTAFIKIA MUAFAKA NAMBA 0623892902 CHANIKA DAR ES SALAAM
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,225 Nov 3, 2022 #4 Hakuna sabufa iliyo vizuri kwa hiyo bei
Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Nov 3, 2022 Thread starter #5 mkorea said: Hakuna sabufa iliyo vizuri kwa hiyo bei Click to expand... Ata mimi siku nunua kwabei iyo dukani na sio sipendi nauza kwasababu nina shida na hela kweiyo Mida mingine uwaze kwanza cha kusema kabla ujasema
mkorea said: Hakuna sabufa iliyo vizuri kwa hiyo bei Click to expand... Ata mimi siku nunua kwabei iyo dukani na sio sipendi nauza kwasababu nina shida na hela kweiyo Mida mingine uwaze kwanza cha kusema kabla ujasema
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,225 Nov 3, 2022 #6 Frankdaniel711 said: Ata mimi siku nunua kwabei iyo dukani na sio sipendi nauza kwasababu nina shida na hela kweiyo Mida mingine uwaze kwanza cha kusema kabla ujasema Click to expand... Ipo vizuri sana Mdundo wa kutosha Alitop hakuna kitu hapo
Frankdaniel711 said: Ata mimi siku nunua kwabei iyo dukani na sio sipendi nauza kwasababu nina shida na hela kweiyo Mida mingine uwaze kwanza cha kusema kabla ujasema Click to expand... Ipo vizuri sana Mdundo wa kutosha Alitop hakuna kitu hapo
Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Nov 3, 2022 Thread starter #7 welding1682 said: Chukua hamsin nikuelekeze sehemu upeleke chap Click to expand... Nichukue 50 na bado nibebe nipeleke sehemu kwa 50 iyoyo Asante mkuu
welding1682 said: Chukua hamsin nikuelekeze sehemu upeleke chap Click to expand... Nichukue 50 na bado nibebe nipeleke sehemu kwa 50 iyoyo Asante mkuu
Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Nov 3, 2022 Thread starter #8 welding1682 said: Chukua hamsin nikuelekeze sehemu upeleke chap Click to expand... Siuzi 50 boss wangu piga 0623892902
welding1682 said: Chukua hamsin nikuelekeze sehemu upeleke chap Click to expand... Siuzi 50 boss wangu piga 0623892902
Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Nov 3, 2022 Thread starter #9 mkorea said: Ipo vizuri sana Mdundo wa kutosha Alitop hakuna kitu hapo Click to expand... Sawa kama wewe subwoofer iyo ina mdundo wakutosha basi nyamaza
mkorea said: Ipo vizuri sana Mdundo wa kutosha Alitop hakuna kitu hapo Click to expand... Sawa kama wewe subwoofer iyo ina mdundo wakutosha basi nyamaza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,917 Reaction score 184,694 Nov 3, 2022 #10 Ahsante kwa taarifa...
Frankdaniel711 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2018 Posts 366 Reaction score 140 Feb 14, 2023 Thread starter #11 Habari, Wana jf nauza subwoofer yangu kubwa inch 8 ni Mr UK ina mdundo mzuri sana bado ipo kwenye warranty Sikaagi na subwoofer nikiwa na shida na hela uwaga nauza tu Bei 145,000 Nipo dar es salaam chanika njoo na hela yako uje uchukue Namba zangu 0756774813 Asante Your browser is not able to display this video. Attachments IMG_20230214_131356_845.jpg IMG_20230214_131356_845.jpg 8.2 MB · Views: 38 IMG_20230214_131303_724.jpg IMG_20230214_131303_724.jpg 8.4 MB · Views: 42 IMG_20230214_131219_242.jpg IMG_20230214_131219_242.jpg 9.4 MB · Views: 38
Habari, Wana jf nauza subwoofer yangu kubwa inch 8 ni Mr UK ina mdundo mzuri sana bado ipo kwenye warranty Sikaagi na subwoofer nikiwa na shida na hela uwaga nauza tu Bei 145,000 Nipo dar es salaam chanika njoo na hela yako uje uchukue Namba zangu 0756774813 Asante Your browser is not able to display this video.