Subwoofer na DVD player zinauzwa

Blacklist

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
46
Reaction score
11
Nauza dvd player na subwoofer (pichani) bado ni mpya kabisa nimetumia miezi 2 risiti za manunuzi ninazo na cable zake zote zipo.
Subwoofer inasoma flash disk, memory card pia ina fm radio.
Dvd player inasoma cd/dvd aina zote pia ina option ya flash disk.

Bei kwa zote 110,000/= tuu. Ukitaka mojawapo tutaelewana bei.

Kwa anayehitaji nichek hapa
0626 852910, Nipo tabata Dar.



 
Mimi Nina 80 kwa zote ikikulipa njoo inbox tupange namna ya kukutana
 
Nipo musoma mimi nawezaje kuzipata!?
Vipi naww umo kwenye orodha?
 
Huku mtaani kwetu vitu kama hivyo vinauzwa kwa wingi sana tena bei mbaya....na bado wale wenye vyeti feki nao wataanza kuuza kimoja kimoja kwa mitaa
 
Mkuu spika zake hazikwaruzu kama mende kaingia!!!! Miez miwili kwa redio ya Mchna ni mingi??
 
Mimi nina subwoofer kama hiyo, inasoma flash, ina redio, memory card, na pia remote yake. bei 100k tu inapungua kidogo ukiwahi. nicheck 0746330394
Kaah sasa huoni yako ni ghali mwenzio hapo ni bufa na deki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…