Yupo kwenye uangalizi na ufatiliaji kwa vipimo , hadi sasa amefanyiwa vpmo vya msingi viwili , na wao wame dai lazima afatiliwe kwa vpmo vya M-R-I kila mweziPoleni. Mkuu thread yako ina makosa ya kiuandishi, haieleweki vizuri. Kwa kiwango nilichoelewa nina ushauri huu. Mgonjwa wenu achukulie seriuous hiyo condition. Kuna jamaa yetu aliwahi kupata ajali, akaumia kichwani. Hakufanyiwa vipimo vya kutosha na yeye kwa vile hakuwa anajisikia maumivu akaendelea na shughuli zake kama kawaida. Fast foward, baada ya mwaka, akaanza kusikia maumivu makali ya kichwa, kwenda hospital hakukaa sana akafariki. Hivyo basi mgonjwa wenu jaribuni kupata ushauri wa kitaalamu kwenye hospital kubwa eg Muhimbili, na napendekeza mpata ushauri kutoka kwa ma dr tofauti tofauti. Kama mna uwezo aande sehemu kama Nairobi au India.
Jamaa alikuwa ameumia kwa ndani lakini hakujua. Alipopata ajali alienda hospital akaangaliwa na kudhaniwa ni mzima ila kumbe alikuwa ameumia ndani ya kichwa. Kipindi hicho alikuwa hana maumivu yoyote. Baada ya mwaka ndiyo akaanza kusikia maumivu ya kichwa kwa mbali lakini haku-relate na ile ajali. Ikatokea siku moja akazidiwa kupelekwa hospital wanataka kumkimbiza kwenye upasuaji ikawa too late. Kwa upande wa mgonjwa wako nadhani wamefanya jambo zuri kuhakikisha wana-monitor hali yake kwa karibu na mara kwa mara.Yupo kwenye uangalizi na ufatiliaji kwa vipimo , hadi sasa amefanyiwa vpmo vya msingi viwili , na wao wame dai lazima afatiliwe kwa vpmo vya M-R-I kila mwezi
Yeye alivyopata dalili hatarishi hakuwa hospital?
Inayonyesha pia alivyoenda hospital hakutoa taarfa ya ajali maana wangempgia M-R-I wangeona hiyo shida chapu na kumfanyia upasuaji .
Mkuu acha kutumia AI tafadhali.Jamaa alikuwa ameumia kwa ndani lakini hakujua. Alipopata ajali alienda hospital akaangaliwa na kudhaniwa ni mzima ila kumbe alikuwa ameumia ndani ya kichwa. Kipindi hicho alikuwa hana maumivu yoyote. Baada ya mwaka ndiyo akaanza kusikia maumivu ya kichwa kwa mbali lakini haku-relate na ile ajali. Ikatokea siku moja akazidiwa kupelekwa hospital wanataka kumkimbiza kwenye upasuaji ikawa too late. Kwa upande wa mgonjwa wako nadhani wamefanya jambo zuri kuhakikisha wana-monitor hali yake kwa karibu na mara kwa mara.
Da yaani maelezo yangu nimetumia AI? Nadhani ulitaka ku-quote mwanzisha thread ukakosea kwa sababu mimi nimetoa maelezo ya jamaa yetu aliyepata ajali. Rudi tena usome.Mkuu acha kutumia AI tafadhali.
Clinical thinking inaelekea wapi jamani 🥺
Mimi nimetumia maelekezo ya ya ma Dktr na pia nikatuma karatasi ya majibu ya M-R-I ndio ikafanunua zaid kiuwepesi zaid tuu yanafanana na maelekezo ya Dktr,Da yaani maelezo yangu nimetumia AI? Nadhani ulitaka ku-quote mwanzisha thread ukakosea kwa sababu mimi nimetoa maelezo ya jamaa yetu aliyepata ajali. Rudi tena usome.
Mimi nimetumia maelekezo ya ya ma Dktr na pia nikatuma karatasi ya majibu ya M-R-I ndio ikafanunua zaid kiuwepesi zaid tuu yanafanana na maelekezo ya Dktr,Da yaani maelezo yangu nimetumia AI? Nadhani ulitaka ku-quote mwanzisha thread ukakosea kwa sababu mimi nimetoa maelezo ya jamaa yetu aliyepata ajali. Rudi tena usome.