subaru forester

dhk1

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
1,009
Reaction score
660
Ipo Subaru forester ya mwaka 2002,iko kwenye hali nzuri napatikana Arusha. Bei kuanzia 9.5m
 
watu wa AR wanapenda subaru kweli,

weka mapicha, odometer, imetumika hapa tz kwa mda gan, historia yake ya ajal nk
 
I'll do just dat asap
 
Picha
Conditions zake
Haijawahi kupata ajali,
Iko kwenye hali nzuri
(Samahani coz nimechukua picha usiku)
 
Unajua nn mkuu nimetuma muone ata ucku inavyotekea bt ata kesho ntawatolea zingine
 
Unajua nn mkuu nimetuma muone ata ucku inavyotekea bt ata kesho ntawatolea zingine
Iko hivi
Hii hapa redio

More photos
Kwa anaehitaji unaeza ni pm kwa maelewano zaidi..
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375862490261.jpg
    19.6 KB · Views: 78
Mkuu piga mchana kamanda pia cm yako muhimu iam interested
 
Contact me thru
0719433021
 
Izo apo nyingine za mchana mkuu
 
4m haiwezakani kabsaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…