Subaru Forester XT Model For Sale

Samatime Magari

Senior Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
142
Reaction score
512
Yes hii ni recent Import na iko DSM ina Km 103,000 cc 1990 AT Petrol na ni AWD

Hii Machine kwa sasa Bei zake ni 28++ Lakini Leo nitaitoa kwa OFA ya 27.2M Utasave 800,000 Tsh

Hapo utakukula na usajili, fire extinguisher na BIMA 3rd part Buree

OFA hii ni Ndani ya siku 7 tu wasiliana nasi sasa 0714547598






 

Attachments

  • CC804623_3.jpg
    45.9 KB · Views: 2
  • CC804623_4.jpg
    45.2 KB · Views: 1
  • CC804623_5.jpg
    51.7 KB · Views: 1
  • CC804623_8.jpg
    45.3 KB · Views: 1
  • CC804623_26.jpg
    46 KB · Views: 1
  • CC804623_27.jpg
    46.4 KB · Views: 1
  • CC804623_30.jpg
    46.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2026-08-31 at 9.44.19 AM M.jpeg
    79.2 KB · Views: 1
Kali sana..kibubu kikijaa nitaitaka ile SJG angalau ya 2015 au 16 ,,nifaidi namimi
 
Kwa MTU ambaye anajua mambo ya magari hii ni mashine ni zaidi ya gari . Subaru forester XT SH 5 ni gari tamu sana.
Nipo nayo hii gari huu ni mwaka wa pili haina shida yeyote zaidi ya kumwaga oil Tu.

Ukitaka kufurahi kwenye Subaru nunua yenye turbocharger
 
Nakubali mkuu unatupa mwanga, hata siku tukimiliki tujue pakuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…