Wakuu habari za Jumapili!?
Kuna kahela nimepata kidogo nataka kuagiza gari. Baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimetamani gari mbili tu; Subaru Forester au Honda Crossroad.
Wataalam wa magari nichukue lipi hapa? Ushauri wenu wa maana sana kwangu.
1. Upatikaji wa spear
2. Gharama za spear
3. Aina ya matumizi na uhimilivu wake
4. Common weaknesses of each brand mfano mfumo wa umeme, brake system n.k
cross road zipi za 2000cc na 1790cc, unataka ipi, forester kuna 2000cc na 2500cc unataka ipi, forester ni 5 seats , crossroad ni 7seat. forest imeanza kuwa yeboyebo, crossroad ni unique