Ingia kwny mtandao km Be Forward then tafuta Volkswagen golf touran, Bei zake za kawaida sana, hata ushuru ni tofauti na gari za Japan, ingawa hizi nazo zinatoka Japan.
Hutajutia kununua hii gari mkuu.
Pia spare zake siku hizi zipo kila mahali.
Fuel consumption ni kawaida sana maana nyingi ni cc 1800-2000!